Sisi ndo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee
(Na simba lamaa)
Sasa tumejipata
Ni Zuchu chu chu chu chu
Hehehee!
(Ayo Trone)
Ai wewee
Troni
Heee!
Ayayayaya
Ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya
Hukujua nina Mungu
Ayayayaya
Eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
Heee!
Chote ni choyo na sijalii
Ndio kina waumiza
Na Mungu wangu (na Mungu wangu)
Yu ngangari
Cheza nami atawamaliza
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (mama sumaaa)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae
Sisi ndo nani
Sisi ndo wale wale
(Sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa
(Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee
(Jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata
(Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale
(Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa
(Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee
(Jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti
Tikiti tikiti
Heee!
Arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto
Tokoto tokoto
Heee!
Oooh eti ntakufa
(Kwani we utaishi milele)
Nilipozitafuta
(Mbona mliniacha mwenyewe)
Hizo chuki na pupa ooh
(Ndo zinofanya mchelewe)
Oooh kwa kushinda kutwa
(Roho mbaya na viherehere)
Hee na mwaka huu mtaisaga rumba (eh kwanini)
Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba (ay!)
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba (eh waganga)
Waganga wenu wambieni wakoleze ndumba
Aeee oh!
Oh binadamu ni waajabu sana (jaabu sana)
Wana maneno ya kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sanaaa
Wana matendo ya kuumiza sana
Walisema eti nna nuksi ya senti (kapachuka)
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona mnakechi
Oooh sisi ndo walewale!
Sisi ndo wale wale
(Sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa
(Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee
(Jamani Mungu si athumani)
Sasa tumejipata
(Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale
(Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa
(Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee
(Jamani Mungu si athumani, jamani)
Sasa tumejipata
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti
Tikiti tikiti
Heee!
Arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto
Tokoto tokoto
Heee!