Ngumu safari Nlifanya njiani ushukie eeh eh! Ukakosa seat Mmiliki gari lako mwenyewe eh! Nikajiveka mashati Nikajiona me ndo mie eeeh eh! Kweli mbaya halisi Na wema hakosi eeeh eh!
Nisamehe nisamehe Nisamehe nisamehe
Eeh! Chozi dibwidibwi Nachanganyikiwa Na vilio sishikiki Niko magharibi Lizamapo jua Wewe upo mashariki Zawadi vipochi Vijuisi vipipi Nazimiss chocolate Nimekoma dear Nilivyonyongea Huba zako sizipati Tabibu Kunikomesha umepata Toto la kitanga Sababu Umeichoka jeuri yangu Ya kipemba Lile gubu Limeniisha kabisa Baby hali nanga Aibu Wananicheka wajinga Rudi nakuomba
Eeh! Nikikaa nawazaa Nimuingie kwa style gani Nimlilie Niseme nna mimba Kasahau tshirt nyumbaani Nashindwa kujizuia Uvumilivu unanishinda kwanini Nikimpigia kusudi zake Na akipokea Eti haloo wewe nani? Iih! Iih! Na namba kakupa nani? Mara oooh kumbe wewe Unafanya issue gani? Siku hizii ih! Me msanii anajua Ina maana hanioni? Kwenye TV ih! Aah! Aih wewe! Aah! Aih wewe!