Sioni aibu, kwa kila linalonifika Mana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguuki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu
Raise your glass Cheers to the Lord
Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa aaeh Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo He
Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali
Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu