Mi staki tuongee Moyoni nna machungu machungu Nsije tenda dhambi mhh Ila chozi la mnyonge Malipo ni kwa mungu kwa mungu Bora nihame kambi Mmhh mhh Kama subira ina mwisho Ina mwisho wake manaa Asali umeimaliza mzinga Ukanifanya tahira Suluhisho nimeona kwako hamnaa Moyo wangu si wa mninga najitoa Tunagombana kwa vitu vidogo Kosa si kosa unageuka mbogo Huna dogo wewe Hunipendi unang’ong’a kisogo Punda siendi eti bila magongo Mpenda zogo wewe
Kina cha mmaji matitu Ukaniacha bila boya nijifie Kosa langu nini Mchana nauona ka usiku Nachacha nyie maumivu muyasikiee Yasiwakutenii Hih! Na kama halbadirii ya mbayana umeniumbua Umeniadhiri umeniacha mnyama na nguo uumenivua
Kukupenda tenaa sitakii Nimekomaaah sitakii Kukuonaa sitakii Mhh Narudia tena sitakii Kukuonaa sitakii Nimekoma sitakii He Bora nihesabu tu kama nimepata