Yezzeman
Zombie
(S2kizzy)
Umetoka kwenu bush, nakuona
Sa hivi unajiona
Una force kujipost, post na'
Hakuna kitu naona (yeah)
Wewe sio wa kwanza kukupenda
Naweza kukuacha na ukaenda
Ukitaka ushindani, uta-surrender (surrender)
Uta-surrender
Haya, haya, ’tia maji
Haya, haya, 'tia maji
Kununua zako huwezagi
Basi bora unywe maji
Huna jipya
Tena umepauka
Unapenda attention
Attention
Una sifa, ona limekushuka
Sikupi attention
(Mm-mm)
Attention
(Wee!)
Mungu naomba unisamehe kwa hili kosa (hili kosa)
Huyu mbwa nimemvumilia, nishachoka (nishachoka)
Nilikaa kimya bubu, ukaleta uduanzi
Sasa leo nakujibu upate vi-followers
Kwanza, kisu chako butu
Hakinoi, hakikati, yaani-
Um, tum, tum, tum
Tum, tuku, tum, tuku, tutu
Unajitia mchati huna kitu, tu, tu
Unacho niudhi huna kumbukumbu
Ulikuja juzi umekonda kama mbu
Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu
Usilete makuzi, kaoshe map-
Huna jipya
Tena umepauka
Unapenda attеntion
(Kwenda!)
Attention
(Hovyo)
Una sifa, ona limekushuka
Sikupi attеntion
(Hilo!)
Attention
(Hilo!)
Eti nyoko, nyoko
Nyoko, nyoko
Haya, haya, 'tia maji
Haya, haya, ’tia maji
Kununua vyako huwezagi
Basi bora unywe maji
Huna jipya
Tena umepauka
Unapenda attention
Attention
Una sifa, ona limekushuka
Sikupi attention
Attention