1. 1

    Bonga - Mona Ki Ngi Xica

  2. 2

    Bonga - Mulemba Xangola (part. Lura)

  3. 3

    Bonga - Comeram A Fruta

  4. 4

    Bonga - Mariquinha

  5. 5

    Bonga - Kilumba Dia Ngola

  6. 6

    Bonga - Zé Kitumba

  7. 7

    Bonga - Diakandumba

  8. 8

    Bonga - Kaxexe

  9. 9

    Bonga - Marimbondo

  10. 10

    Bonga - Moname

  11. 11

    Bonga - Mudiakime

  12. 12

    Bonga - Ti Zuela

  13. 13

    Bonga - A Kua Muceque

  14. 14

    Bonga - Kiamangongo

  15. 15

    Bonga - Nucos Da Buala

  16. 16

    Bonga - Samania

  17. 17

    Bonga - Aga (part. Kusah)

  18. 18

    Bonga - Kambonhorinho

  19. 19

    Bonga - Kapakiao

  20. 20

    Bonga - Kianje

  21. 21

    Bonga - Kutonoka

  22. 22

    Bonga - Mindjeris De Pano Preto

  23. 23

    Bonga - Poeira

  24. 24

    Bonga - Tetete (part. Lomodo)

  25. 25

    Bonga - Turmas Do Bairro

  26. 26

    Bonga - Vira Moda

Aga (part. Kusah)

Bonga

Baby, nina kaneno niseme na wewe
Tega sikio makini unielewe
Kwamba wako wengi wazuri ila kwangu ni wewe
My sweety, chunga usije niacha mwenyewe (hmm)

Beiby oooh, beiby oooh
You are the only in my heart oh
Beiby oooh, beiby oooh
Umenifunga hadi macho

Ntalia (henhe), ntalia (hmmm)
Ah beiby, ah baby, ah baby I love you
Ntaumia ntaumia ma
Utanikoroga koroga akili ma
Ntalia, ntalia
I love you, I love you, I love you (oooh beiby)
Ntaumia ntaumia mama (eeh)

Hee hii
Alivyojaza huko nyuma (aga)
Kama kabeba mlima eeh (aga ga )
Mi hoi nguvu sina (aga)
Iyeyeye...
Kama ni boat za vinande (aga)
Roho itaniuma ukiniacha (aga)
Iyeyeye yelele (aga)
Iyeyeye yelele

Shindu shindua ukinuna nitacheka
Nipe kitandani vyote
Mpaka kwenye mkeka
Oh beiby, milio fulani kama toni za tarumbeta
Kama ni pambano
We mayweather mi ni chekaa

Asi beiby, we ning'ang'anie
Hujalo acha wacha nikumwagie
Fanya dari we uning'inie
Ah yeyeye yeye

Ntalia (henhe), ntalia (hmmm)
Ah beiby, ah baby, ah baby I love you
Ntaumia ntaumia ma
Utanikoroga koroga akili ma
Ntalia, ntalia
I love you, I love you, I love you (oooh beiby)
Ntaumia ntaumia mama (eeh)

Hee hii
Alivyojaza huko nyuma (aga)
Kama kabeba mlima eeh (aga ga )
Mi hoi nguvu sina (aga)
Iyeyeye...
Kama ni boat za vinande (aga)
Roho itaniuma ukiniacha (aga)
Iyeyeye yelele (aga)
Iyeyeye yelele

Aah oooh hodari
Togo meli mix na sukari
Mwenzako silali eeeeeh
Wowowo hodari
Mwenzako kuku na kidelima
Yaani mwenzako silali yeyeye

Playlists relacionadas Ver mais playlists

Momentos

O melhor de 3 artistas combinados